WANANCHIIII!!!! MWAMBA HUYU HAPA๐Ÿ’›๐Ÿ’š.



 Anaitwa Emmanuel Mahop(28) raia wa Cameroon anatajwa kuja kuvaa viatu vya mabingwa wa nchini Tanzania Yanga sc ambapo vyanzo vinasema hivi sasa wapo mjini Dar es salaam kwa ajili ya kukamilisha swala kutangazwa na kuanza majukumu yake mapya kma mwananchi ikumbukwe Mahop raia wa Cameroon ameshaaga katika timu aliokua akicheza awali.
๐Ÿ“Œ Emmanuel mahop takwimu zake misimu mitatu nyuma ni kama zifuatazo;
    ๐Ÿ”’Nchini Guinea ligi daraja la pili 2020/21
        Mechi (15)
        ⚽- 30
        ๐ŸŽฏ- 4
    ๐Ÿ”’Fc Akonagui  2021/22
        Mechi (22)
        ⚽- 15
        ๐ŸŽฏ- 5
    ๐Ÿ”’Canone Younde 2022/23
         Mechi (20)
         ⚽- 15
         ๐ŸŽฏ- 3
  ๐Ÿ“Œ Ambapo msimu huo alimaliza akiwa mfungaji bora na kubeba taji la ligi.

No comments:

Post a Comment